DAY 1:SIRI NA NAMNA YA KUMTAFUTA BWANA MUNGU NA MATOKEO YANATOKEA MTU ANAPOMPATA MUNGU
Scriptureszaburi 53:2 , mathayo 6:23
SOMO : SIRI NA NAMNA YA KUMTAFUTA BWANA MUNGU NA MATOKEO YANATOKEA MTU ANAPOMPATA MUNGU
Hebrew meaning of seeking GOD
- Darash which means - kuuliza , kutafuta kwa makini
- Bakash - maana yake kuomba kitu unachotaka
Inapofikia wakati wa kumtafuta BWANA MUNGU maana yake ni kama kufanya research.
1. Kuna kumtafuta BWANA MUNGU na
2. Kuvitafuta vitu vya BWANA MUNGU.
3. Kutafutwa na BWANA MUNGU.
**Aina ya watu ambao BWANA anawatafuta ?**
1. Yule ambaye na yeye anamtafuta BWANA MUNGU
zaburi 53:2 , mathayo 6:23
2. Yule anaabudu katika roho na KWELI
3. Kundi la waombezi - intercessors
Ezekieli 22:30.
There are times which HE ignore and times now that HE want everyone to repent.
>> Wamtafute ili wampate , waishi na waende
>> Hujaanza Maisha ikiwa bado
Requirement of Seeking GOD
1. Require all of you