Maombi na Maombezi

Karibuni katika Tovuti yetu ya mafundisho na Mahubiri. Tunaamini NENO LA BWANA MUNGU wetu ndio Nguzo Kuu ya Maisha ya MKRISTO. “Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.”Mathayo 4:4

Unahitaji Maombi?

Kwa msaada wa maombi au maombezi, wasiliana nasi moja kwa moja kupitia nambari zifuatazo:

  • 📞 0714-238-462
  • 📞 0762-738-462

Pia unaweza kufuatilia mafundisho na mahubiri kutoka madhabahu kuu tunayoabudu ya RGCM-Goba Centre.
https://www.rgcm.org/” — Phone: +255 764 711 544

Kuhusu Tovuti Yetu

Mimi ni Mwinjilisti David Joshua, ninayelelewa katika huduma ya RGCM (Restoration Gospel Commission Ministry). Nipo pamoja na mke wangu Pastor Clara, na sisi wote tunatumika pamoja katika huduma hii kwa nguvu za Bwana Yesu Kristo, tukifundisha Neno la Mungu na kuwaombea watu wote ili warejeshwe kwa BWANA YESU KRISTO na kuimarishwa kiroho.

Mwinjilisti David Joshua

Mwinjilisti David Joshua
Mwendeshaji wa Tovuti

Pastor Clara

Pastor Clara
Mwenzangu katika Huduma

“Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu..”
— Zaburi 119:105

Karibu sana Ufuatilie mafundisho haya na uendelee kukua kiroho! 🙏